
Wakiwa timu moja ya SIMBA waheshimiwa hawa wamedhihirisha kuwa Siasa si ugomvi.Pamoja na tofauti zao kubwa kiitikadi wawapo uwanja wa Siasa kumbe wanasiasa hawa wanakutana na kucheza pamoja.Hapa ni Lusinde ,Nassari,Zitto na Ngeleja wakiwa timu moja na kuweza kuiwezesha timu yao yaSimba kuwafunga wale wa Yanga ! TUBADILIKE
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Michezo
on Sunday, July 8, 2012
Post a Comment