
Wakazi wa Iringa wakiwasikiliza viongozi wa BAVICHA katika uwanja wa Mwembetogwa.
umma wa wakazi Iringa ukimsikiliza Katibu wa BAVICHA Deogratias Munishi.

sehemu ya mkusanyiko wa umma ulio jitokeza.

Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, bwana john heche, akiongea na kazi wa Iringa.

umati wa wakazi wa iringa mjini wakimsikiliza Mwenyekiti BAVICHA, vijana wajitokeza kwa wingi katika mkutano huu katika Viwanja vya mwembetogwa leo hii.
wanahabari wakichukua picha.
Post a Comment