

Wachezaji wa Simba wakimpongeza Boban alieisawazishia timu yake goli kipindi cha pili

Sehemu ya Mashabiki wa Simba wakiwa wamesimama wakati wa kuwaombea dua wale waote waliofarikii kutokana na ajali ya boti iliyotokea huko Zanzibar

Sunzu akimiliki mpira na kujaribu kumpita beki wa Vita Club kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Kongo katika mchezo wa kombe la Kagame uliofanyika leo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, ambapo timu hizo zimetoka sare ya magoli 1-1
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Michezo
on Saturday, July 21, 2012
Post a Comment