Loading...
Home
» Siasa
» KIKAO CHA BUNGE JANA:Spika wa bunge Mhe. Anna Makinda amepiga marufuku kusomwa kwa baadhi ya ...
KIKAO CHA BUNGE JANA:Spika wa bunge Mhe. Anna Makinda amepiga marufuku kusomwa kwa baadhi ya ...
Spika wa bunge Mhe. Anna Makinda alipokuwa anapiga marufuku kusomwa kwa baadhi ya vipengele vinavyohusisha kesi zilizo mahakamani katika taarifa ya kambi ya upinzani kutokana na kukiuka sheria na kanuni za bunge zinazokataza kuingilia uhuru wa mahakama.
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment