

Wachezaji hao wakiwa wamepozi na joka hilo wakiwa na furaha tele huku kila mmoja akishoo love kwa kamera
Taswira mbalimbali za wachezaji wa Man U ambao wako bondeni wakiwa kwenye hifadhi za PheZulu Safari Park ambako walifanya ziara na kuanza kucheza na nyoka mkubwa ajulikanaye kwa jina la Fluffy.PICHA ZAIDI BOFYA HAPA;http://www.matukiorundugai.blogspot.com
Post a Comment