Felix Sunzu wakati mwingine ilibidi arudi kusaidia nyuma pale alipoona mambo hayaendei hapo akiondosha hatari langoni pale Azam walipokuwa wanashambulia.
Kipre Tcheche akiangalia alipo John Boko kabla ya kupiga krosi langoni mwa simba katika mechi ya Kagame Cup 2012 katika uwanja wa Taifa Ambapo Simba walikubali kipigo cha goli tatu kwa moja
Mchezaji wa SImba akijitahidi kumpita mchezaji wa Azam katika mpambano uliotawaliwa na Azam kwa Simba kupigwa kipigo ambacho hakikutarajiwa na Mashabiki wake waliojazana ndani ya Uwanja wa Taifa jana.

Post a Comment