Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

TBL YAIKABIDHI YANGA PESA ZA KWA AJILI YA UCHAGUZI



Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steven Kilindo (kulia) akimkabidhi mfano wa Hundi ya Sh. Milioni 20, Katibu Mkuu wa Yanga, Celestine Mwesigwa (kushoto) katika hafla fupi ya kukabidhi hundi hiyo iliyofanyika makao makuu ya TBL, Ilala Dar es Salaam asubuhi ya leo.
TBL imetoa fedha hizo kwa ajili ya uchaguzi Mkuu wa klabu hiyo, uliopangwa kufanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam, Julai 15, mwaka huu, ikiwa ni sehemu ya mkataba wa udhamini baina ya Yanga na Kilimanjro Premium Lager Beer, inayozalishwa na TB L.
Wengine nyuma yao, kutoka kulia ni Katibu wa Kamati ya Uchaguzi ya Yanga, Francis Kaswahili, Katibu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Angetile Osiah, Meneja wa Bia ya Safari Lager aliyemuwakilisha George Kavishe, Meneja wa Bia ya Kilimanjaro aliye safarini na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Yanga, Jaji John Mkwawa.
Katibu wa Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania(TFF) Angetile akizungumza,kulia kwake ni Katibu wa Kamati ya Uchaguzi ya Yanga, Francis Kaswahili,
Katibu Mkuu wa Yanga, Celestine Mwesigwa (kushoto) akizungumza jambo katika hafla hiyo.
Baadhi ya waandishi wa habari walioalikwa .
Picha na Shaffi Dauda Blog
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top