Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

CHADEMA YATETEA KITI CHA NAIBU MEYA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MUSOMA

Uchaguzi wa Naibu Meya wafanyika na naibu Meya Bwire Nyamwero amepajipatia kura zipatazo 13 ambapo Diwani wa Chama cha Upinzani CCM, Ally Helce Jama akapata kura 4.
Akitangaza matokeo ya Uchaguzi Kaimu Mkurugenzi John Maselo alimtangaza Nyamwero kuwa Naibu Meya.
Awali Naibu Meya alikuwa, Mama Angela Gerick Lima ambaye kwa taratibu za CHADEMA aliteuliwa na kupata kura punguza katika Uchaguzi uliofanyika Wiki iliyopita Julai 28 katika kikao cha kamati Tendaji cha CHADEMA alipata kura 3 na Diwani mwingine pia kupata kura pungufu 9, ambapo Nyamwero alipita kwa kura 13.
Naibu Meya Mh. Bwire Nyamwero(CHADEMA)
Baadhi ya waheshimiwa Madiwani waliohudhuria kikao hicho.

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top