Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Hapa ni kazi tu


Imekuwa ni kawaida sasa kuwakuta watoto wakiwa wanazurura mitaani wakati wa shule huku wakifanya shughuli mbalimbali kama walivyokutwa hawa ambao wanaokota chupa ili kwenda kuuzwa.Chupa hizo huokota kutwa nzima iloi angalau apate kipato cha kutosha hivyo kushindwa kwenda shule na wengi wao hao waokotao makopo wanakuwa wameacha shule kutokana na ugumu wa maisha inayozikabili familia wanazotoka.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top