Pichani watoto wakicheza michezo yao ya utotoni ambapo hapo wanajiongoza na lugha ya mchezo ni mmoja pia.Huenda wanakukumbusha kipindi fulani enzi hizo nawe ukiwa rika hilo..!! Ni Morogoro pale walipokutwa na kamera yetu ya Rundugai Blog.
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment