Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

OPERESHENI SANGARA YAPIGWA STOP IRINGA,FFU WATANDA ENEO LA MKUTANO

Askari wa FFU mkoani Iringa wakiwa wametanda eneo la uwanja wa Mwembetogwa ambalo Chadema ilipanga kufanyia mkutano wake leo wa kitaifa
Mkuu wa FFU mkoa wa Iringa afande Mnunka akiwa eneo la uwanja wa Mwembetogwa kuzuia mkutano wa Chadema ambao wako katika mfululizo wa Mikutano ya Operesheni Sangara.
Mfanyabiashara eneo hilo la Mwambetogwa akihamisha bidhaa zake kukwepa shari eneo hilo ambalo limetangazwa kuwa ni eneo la hatari na FFU ambao wamezuia Mkutano wa CHADEMA unaotarajiwa kuanza jioni hii katika mfululizo wa Operesheni Sangara.
Chanzo:Francis Godwin Mzee wa Matukio Daima
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top