Mhe. Bernard K. Membe (MB), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (pichani kulia) akimpokea Mhe.
Morgan Richard Tsvangirai, Waziri Mkuu wa Zimbabwe aliyewasili
leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere,
jijini Dar es Salaam. Mhe. Waziri Mkuu Tsvangirai atakuwa nchini kwa
ziara ya kikazi na anatarajiwa kukutana kwa amazungumzo na Mheshimiwa
Rais Jakaya Mrisho Kikwete Leo Ikulu, jijini Dar es Salaam.
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment