Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

CHADEMA YAZIDI KUWASHA MOTO WA M4C






 Godfrey Chikandawali alipokuwa akitambulishwa rasmi baada ya kuvua gamba na kuvaa gwanda
 John Heche Mwenyekiti wa BAVICHA akihutubia mkutano wa wananchi wa Mwenge wilaya ya kinondoni

CHADEMA Imeendelea kuwatesa wapinzani wao CCM kwa kuendeleza kwa kasi kampeni yake ya VUA GAMBA VAA GWANDA,ambapo jana jioni kabisa Mwenyekiti Vijana (BAVICHA) John Heche aliwapokea wanachama wengi wa CCM walioamua kujivua magamba na kujiunga na M4C.Anayeonekana na gwanda jeusi pichani akiwa na mwenyekiti heche ni ndg Godfrey Chikandamwali aliyekuwa mjumbe wa kamati ya utendaji wa CCM wilaya ya Kinondoni,pamoja naye ni ndugu yake Anna Chikandawali mjumbe wa UWT wilaya,na wengine wengi.Heche amepokea wanachama hao Mwenge jijini Dar es Salaam.

Picha kwa hisani ya Jackson Makala
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top