Mfanyakazi wa Manispaa ya dodoma akizoa taka kwenye mfereji huku akiwa na vifaa duni vya kumuwezesha kufanya kazi hiyo kama alivyokutwa katika eneo la Mji Mpya mjini hapa,bado wakazi wengi wa manispaa ya dodoma hawajapata elimu ya utunzaji mazingira na usafi hali inayofanya kuwepo kwa uchafu kila mahala na utupaji ovyo wa taka hali inayopelekea baadhi ya mitaro maji kutumaa.
Picha na Dodoma yetu
Post a Comment