Mmoja wa mafundi waliokumbwa na mkasa huo Kijana John Frank akiangua kilio muda mfupi baada ya kufanikiwa kutoka katika kisima cha mafuta katika kituo cha kuuza mafuta cha Gapco.
Mmoja wa mashuhuda ambae ni Said Ramadhan pia ni mfanyakazi katika sheli hiyo, kisima cha mafuta ambacho mafundi hao walizama katika sheli ya GAPCO.
Wakati huo fundi mwingine aliyefahamika kwa jina la Michael Moses amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi katika hospital ya mkoa wa Morogoro akiwa na hali mbaya baada ya kukosa hewa wakati wakifanya matengenezo kwenye sheli hiyo.
Mafundi wote ni wakazi wa Dar es salaam na wamekuja kwa ajili ya kazi hiyo.
Picha na Sarah Mgaji Blogzamikoa
Post a Comment