Mkutano wa wakuu wa nchi wa maziwa makuu uliofanyika mjini Kampala nchini Uganda umemalizika huku wakikubaliana masuala kadhaa yakiwemo ya kikundi cha m23 kuacha kabisa mapigano pamoja na kuwaagiza mawaziri wa ulinzi na wakuu wa majeshi wa nchi wanachama kukaa kupanga idadi ya wanajeshi wanaotakiwa na kiasi cha michango.
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment