Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia baadhi ya ng'ombe anaowafuga kwa kufuata njia za kisasa kwenye shamba lake kijijini kwake Msoga, Chalinze, Wilaya ya Bagamoyo,JanaSeptemba 6, 2012.Rais Kikwete amekuwa kiongozi anaehakikisha kunakuwepo kwa sera bora za kilimo na chakula nchini.
Picha na IKULU
1 comments:
"amekuwa kiongozi anaehakikisha kunakuwepo kwa sera bora za kilimo na chakula nchini". Utekelezaji ukoje?
ReplyPost a Comment