UBOVU wa bara bara katika Wilaya ya Ileje Mkoani Mbeya umesababisha hali za maisha za wananchi wa wilaya hiyo kuendelea kuwa duni kutokana na kushindwa kusafilisha mazao wanayolima kwenda mikoa mingine.Hapo ngoma imekwama hivyo inabidi abiria washuke waanze kusukuma ili safari iendelee.
Picha na Mbeya Yetu.
Post a Comment