Abiria wa Kihonda mjini Morogoro wamelazimika kutembea kwa mguu baada ya madereva wa daladala kugoma kusafirisha abiria Kushinikiza halmashauri ya manispaa kuweka vituo vya kupakia na kushusha abiria na kulalamikia kuchoshwa askari wa usalama Barabarani kukamata daladala na kutozwa faini za mara kwa mara.
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment