Viongozi
wa Juu wa chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa wakiongozwa na Katibu Mkuu,
Abdulrahaman Kinana, Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Mnauye na Katibu
wa Oganizesheni, Dk. Mohamed Seif Khatib wamewasilili mkoani Mtwara leo
kwa ziara maalum ya kuimarisha chama hicho. Pichani kulia ni Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Mtwara, Mohamed Sinani akiwapokea viongozi hao katika
Uwanja wa ndege wa Mtwara.
Maandamano
ya pikipiki ya wanachama na wafuasi wa CCM Mkoani mtwara yakiongoza
msafara wa Viongozi hao kuelekea Ofisi za CCM Mkoa wa Mtwara.
Picha na Mtwara Yetu Blog
Post a Comment