Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

NAPE:HONGERA OBAMA, WATANI MJIFUNZE!!

Ushindi wa Obama dhidi ya Romney ni fundisho zuri kwa upinzani nchini kwetu kama wataamua kujifunza, mafunzo muhimu sana kwa washindani wa kisiasa ni pamoja na;

1. Kiwango cha utekelezaji wa ahadi mbalimbali na mipango (Ilani ya uchaguzi) kwa wananchi ina nguvu kubwa katika kuwafanya wapiga kura kuamua nani wa kumpa kura wakati wa kupiga kura..... Kupigia kura mabadiliko au la....


2. Kelele nyngi na wingi wa wapiga kelele si kigezo cha kupata kura nyingi siku ya kupigiwa kura......mikakati na ukaribu na wapiga kura ambao huonyesha ni kiasi gani Chama kiko karibu na kuzijua changamoto zinazowakabili wapiga kura ni moja ya misingi mikubwa...

3. Kutumia muda mwingi kuponda mafanikio yaliyopatikana kwenye kipindi cha mshindani wako...hasa aliyeko madarakani hakusaidii kukufanya upate kura bali wenye akili zao wataona unawadharau na kuwaona wajinga kama vile hawaoni yaliyofanyika.....ndicho kilichommaliza Romney...


4. Lakini ushindi kwa Obama ni dalili njema za kukubalika kwa fikra za kijamaa kwa Taifa kubwa na la kibepari duniani.....sasa tizameni upya itikadi zenu........
Imeandikwa na Nape Nnauye 
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top