King
Abedi Pele jana alitua kwenye kituo cha soka cha Azam FC akiwa
ameambatana na Wajumbe wenzake wa FIFA Ashford Mamelody na Emanuel
ambapo wote walisema Wamezunguka Afrika nzima lakini hawajawahi kuona
kituo kilichojitosheleza kama cha Azam FC.
Picha na Azam

Post a Comment