Mwanamuziki Kofii Olomide akiimba jukwaani na kundi lake katika Onesho
linalofanyiki jana usiku kwenye viwanja vya Leaders Kinondoni jijini
Dar es salaam ambapo wageni waalikwa na mashabiki mbalimbali wamefurika
katika viwanja hivvyo , ili waweze kushuhudia shughuli pevu ya
mwanamuziki huyo nguli wa muziki Barani Afrika.
Kofii Olomide akiimba na mmoja wa waimbaji wake Cindy.Mwanamuziki Kofii
Olomide akiwa na mmoja wa waimbaji wake wa kike wakipagawisha mashabiki
wa bendi hiyo waliojitokeza kwa wingi katika viwanja vya Leaders ili
kushuhudia kile anachokifanya jukwaani.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Clouds Media Group akizungumza kumshukuru
mwanamuziki Kofii Olomide na mashabiki waliojitokeza kwa wingi katika
onesho hilo kwenye viwanja vya Leaders jijini Dar es salaam.
Vimwana wanenguaji wa mwanamuziki Kofii Olomide wakimwaga mauno kwa kwenda mbele jukwaani katika onesho hilo
Mwanamuziki Kofii Olomide akiwa amezungukwa na vimwana hao ambao ni wanenguajia wa bendi yake huku akiwa katikati yao kama mfalme.
Mwanamuziki Kofii Olomide akiwa amezungukwa na vimwana hao ambao ni wanenguajia wa bendi yake huku akiwa katikati yao kama mfalme.
Chanzo: gsengo.blogspot.com
Post a Comment