Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

LEMA APATA MAPOKEZI YA KIHISTORIA ARUSHA


Na Mroki Mroki, Arusha
MAPOKEZI ya Kihistoria katika jiji la Arusha yamefanyika leo wakati wafuasi,   Mbunge wa Arusha Mjini kwa Tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema walipo miminika kwa Wingi kuanzia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) hadi katika Viwanja vya Kilombero mjini hapa alipohutumia maelfu ya wana CHADEMA Arusha Mjini.

Mapokezi yahoo yamefanyika wakati Godbless Lema alipokuwa akirejea mjini Arusha akitokea jijini Dar es Salaam kusikiliza hukumu ya Rufani ya Keshi yake ya Kuvuliwa Ubunge iliyotolewa maamuzi ya kumrtejeshea Ubunge wake Desemba 21,2012.

Maelfu ya wananchi wakiwa katika msafara mrefu zaidi ya pikipiki 500 na magari ulianzia Uwanja wa Ndege KIA mara baada ya Mbunge huyo kuwasili uwanjanai hapo majira ya saa 4:20 Asubuhi.
Wafuasi wa Lema wakishangilia barabarani wakati Mbunge huyo akipita hali ni shangwe kila kona ya Jiji la Arusha.
Wengine walitamani hata kufunga barabara ilimradi waweze kumuona Mh.Lema
 Mbwembwe za waendesha pikipiki wengine ziliwashinda na kuanza kuanguaka.
 Furaha hiyo ilikuwa kwa kilu aliye Mwanachadema
 Skafu na vitru mbalimbali vilivyo na alama ya CHadema viliuzwa jijini Arusha kwa wingi.Biashara nazo zilishika kasi
 Mke wa Mbunge Godbless Lema akiwa kwenye gari pamoja na mtoto wao wakati wa mapokezi hayo.
 Lema Arusha anafananishwa na Barack Obama
Gari maafuru kama vipanya navyo vilijaza kama hivi ni furaha kila kona
 Watu walining'inia katika magari bila hofu
Alikuwa na kazi ya ziada kusalimia kila apitapo
 Huyu na e'eti' alikua anachukua kumbukumbu za Video....
Lena akiwa nba Mbunge wa Arumeru Mashuari CHADEMA, Nasari.Akitoa Saluti kwa wana wa Arusha walijikusanya pembezoni mwa barabara kumsalimia Mh.Lema nae bila wasiwasi anawapa Salutii
 
Habari kwa HIsani Kubwa ya Mrokim Blog. 
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top