Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

MAJAMBAZI YAIBA TSH.MIL 150 NA KUUWA WATU 2 JIJINI DAR(VIDEO)

Risasi zimerindima katika mitaa ya Kariakoo jijini dar es salaam na kusababisha hali ya taharuki baada ya majambazi kuiba shilingi milioni 150 na kuuwa watu wawili kwa kuwapiga risasi na kujeruhi wengine huku baadhi ya maduka kufungwa.

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top