Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

TASWIRA:SHEREHE ZA KUAGA MWAKA 2012 NA KUKARIBISHA MWAKA MPYA 2013 ZA TAWILA CHADEMA WASHINGTON DC ZAFANA


Viongozi wa chadema kutoka kushoto ni Afisa wa habari wa CHADEMA dmv Ndg Kalley Pandukizi, Mwenyekiti wa Chadema DMV Ndg Cosmas Wambura, Katibu wa Chadema DMV Ndg Baby Mgaza, Mwenyekiti wa wanawake Ndg Mariam Khamis na Aliyekuwa Katibu wa Kwanza Ndg Liberatus Mwang'ombe.

Mwenyekiti wa Chadema Tawi la Washington DC Ndg Cosmas Wambura akihutubia katika Sherehe za Kuaga mwaka 2012 zilizofanyika katika ukumbi wa Mirage Hall, Maryland USA.

Katibu wa Chadema wa tawi la DMV Marekani Ndg Isidory Lyamuya.

Katibu wa baraza la wanawake wa Tawi la Chadema DMV Marekani Baby Mgaza.

Katibu mwenezi wa Tawi la Chadema DMV Ndg Hussein Kauzela.

Afisa wa Habari wa Tawi la Chadema DMV Ndg Kalley Pandukizi.

Aliyekuwa katibu wa kwanza wa Tawi la Chadema DMV Liberatus Mwang'ombe.
Mmoja kati ya Wanachama wapya wa Chadema ambaye amejiunga na CHADEMA kutokea CANADA.


author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top