Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

POLISI YAWATAWANYA WAENDESHA PIKIPIKI (BODABODA) NA MABOMU YA MACHOZI (VIDEO)

Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia - FFU mkoani Mwanza leo asubuhi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi, risasi za moto pamoja na kutembeza mkong'oto kwa waendesha pikipiki, maarufu kama bodaboda wa jiji la Mwanza ambao walikuwa wakipambana na askari wa kikosi cha usalama barabarani wakipinga kukamatwa kwa pikipiki zao, katika operesheni iliyoendeshwa na jeshi la polisi mkoani humo.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top