Kituo cha sheria na haki za binadamu kwa kushirikiana na taasisi ya kiraia ya kufuatilia mwenendo wa bunge Tanzania,wamemtaka spika wa bunge,naibu spika na wenyeviti wa vikao vya bunge, kuendesha vikao vya bunge kwa kufuata kanuni na kuacha ushabiki wa vyama ambao hauna maslahi kwa Watanzania..
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment