Na Shomari Binda
Musoma,
DIWANI wa kata ya
Kigera iliyopo katika Manispaa ya Musoma kupitia Chama cha Wananchi
(CUF) Gabriel Ocharo aliliomba Baraza la madiwani wa Manispaa hiyo
kuandaa maandamano makubwa yatakayokuwa na lengo la kuishinikiza
Serikali kupeleka miradi ya Maendeleo katika Manispaa hiyo.
Ocharo alitoa kauli
hiyo katika kikao cha Baraza la madiwani wa Manispaa hiyo ambapo alidai
Miradi mbalimbali ya Maendeleo ambayo imekuwa ikipitishwa katika vikao
vya bajeti imekuwa haitekelezwi hivyo kukwamisha shughuli za maendeleo
kwa Wananchi.
Alisema Miradi hiyo
ikiwemo ya ujenzi wa zahanati,nyumba za walimu pamoja na miradi mingine
inayotolewa katika bajeti imekuwa haitekelezwi na Serikali na kuiacha
Manispaa hiyo ikiwa nyuma katika shughuli za kimaendeleo pamoja na
elimu.
Diwani hayu alisema
haiwezekani kulikalia kimya suala hilo huku Wananchi wakiendelea
kwalalamikia madiwani kwamba hawafanyi kazi wakati Serikali ya (CCM)
inashindwa kutimiza wajibu wake wa kutekeleza miradi ambayo imekuwa
ikitolewa.
Nje ya kikao hicho
Ocharo aliliambia Gazeti la Mtanzania kuwa hapendi kuamini kama Serikali
inashindwa kupeleka miradi ya kimaendeleo katika Manispaa hiyo kwa kuwa
inaongozwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bali
anachokisema ni kwa nini miradi ya Maendeleo inashindwa kutekelezwa.
Alisema ipo miradi
ambayo ilitangazwa na Serikali katika Diwana wa kata ya Kigera iliyopo
katika Manispaa ya Musoma kupitia Chama cha Wananchi (CUF) Gabriel
Ocharo aliliomba Baraza la madiwani wa Manispaa hiyo kuandaa maandamano
makubwa yatakayokuwa na lengo la kuishinikiza Serikali kupeleka miradi
ya Maendeleo katika Manispaa hiyo.
Ocharo alitoa kauli
hiyo katika kikao cha Baraza la madiwani wa Manispaa hiyo ambapo alidai
Miradi mbalimbali ya Maendeleo ambayo imekuwa ikipitishwa katika vikao
vya bajeti imekuwa haitekelezwi hivyo kukwamisha shughuli za maendeleo
kwa Wananchi.
Alisema Miradi hiyo
ikiwemo ya ujenzi wa zahanati,nyumba za walimu pamoja na miradi mingine
inayotolewa katika bajeti imekuwa haitekelezwi na Serikali na kuiacha
Manispaa hiyo ikiwa nyuma katika shughuli za kimaendeleo pamoja na
elimu.
Diwani hayu alisema
haiwezekani kulikalia kimya suala hilo huku Wananchi wakiendelea
kwalalamikia madiwani kwamba hawafanyi kazi wakati Serikali ya (CCM)
inashindwa kutimiza wajibu wake wa kutekeleza miradi ambayo imekuwa
ikitolewa.
Nje
ya kikao hicho Ocharo aliliambia Gazeti la Mtanzania kuwa hapendi
kuamini kama Serikali inashindwa kupeleka miradi ya kimaendeleo katika
Manispaa hiyo kwa kuwa inaongozwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Post a Comment