|
Mhe.
Bernard K. Membe (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa akiwa katika mazungumzo na Mhe. Yukiya Amano, Mkurugenzi Mkuu
wa Shirika la Nguvu za Atomiki Duniani (IAEA) alipofika kumtembelea
Wizarani leo. |
|
Mhe.
Yukiya Amano, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nguvu za Atomiki Duniani
akifafanua masuala mbalimbali kuhusu Shirika hilo kwa Mhe. Membe. |
|
Mhe.
Membe (kushoto) na Mhe. Prof. Makame M. Mbarawa (Mb.), Waziri wa
Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa
Shirika la Nguvu za Atomiki Duniani, Mhe. Yukiya Amano (hayupo pichani)
wakati akizungumza nao leo. |
|
Mhe.
Juma Duni Haji (kulia), Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar, Mhe. Dkt. Binilith Mahenge (katikati), Naibu Waziri wa Maji
na Balozi Celestine Mushy (kushoto), Mkurugenzi wa Ushirikiano wa
Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nguvu za Atomiki Duniani,
Mhe. Yukiya Amano (hayupo pichani). |
|
Mhe.
Yukiya Amano (kulia), Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nguvu za Atomiki
Duniani akimsikiliza Mhe. Membe (hayupo pichani) wakati wa mazungumzo
yao leo. Wengine katika picha ni Prof. Manase Selema (katikati),
Mkurugenzi wa Divisheni ya Ulaya ya Shirika hilo na Bw. Conleth Brady,
Msaidizi wa Mkurugenzi Mkuu. |
|
Mhe. Membe akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Yukiya Amano mara baada ya mazungumzo yao. |
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Jamii
on Tuesday, February 12, 2013
Post a Comment