|
Juliana Shonza akijitambulisha kwa wana CCM leo tarehe 12/2/2013, katika Makao Makuu ya CCM,mjini Dodoma |
|
Mtela Mwampamba akijitambulisha kwa wana CCM,wakati wa sherehe za utambulisho wa wajumbe wa kamati kuu ya CCM. |
|
Mwenyekiti
wa CCM-Taifa,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye picha ya pamoja na
wanachama wapya wa CCM,Juliana Shonza na Mtela Mwampamba,kushoto
kwenye picha ni Makamu Mwenyekiti CCM-Bara ,Ndugu Philip Mangula na
kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahaman Kinana. |
|
Mwenyekiti
wa CCM-Taifa,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wananchi wa Dodoma
wakati wa sherehe za kuipongeza Kamati Kuu iliyochaguliwa jana mjini
Dodoma. |
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Siasa
on Tuesday, February 12, 2013
1 comments:
Wamejulikana itikadi zao
ReplyPost a Comment