Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

TASWIRA KUTOKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Shukuru Kawambwa, akionyesha kimoja kati ya vitabu vinavyotumika mashuleni alipokuwa akijibu hoja mbalimbali  zinazohusu elimu baada ya Mbunge wa kuteuliwa wa  NCCR- Mageuzi, James Mbatia, kuwakilisha hoja yake binafsi ya Udhaifu uliopo katika sekta ya elimu nchini.
 Mwanasheria Mkuu Mkuu wa Serikali Mh. Jaji Frederick Werema (kulia) akibadilishana mawazo na Naibu Wazir wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo, Amos Makalla,Jana Bungeni mjini Dodoma.
 Mbunge wa Iramba Magharibi Mwingulu Nchemba (kulia) akizungumza na Mbunge wa Arumeru Mashariki kupitia CHADEMA, Joshua Nasari, kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma jana
 Waziri  wa Katiba na Sheria Mathias Chikawe (kulia) akizungumza na   Mbunge wa Korogwe Mjini, Yusuph Abdallah Nassir, katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma jana
 Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo  Dkt. Fenella Mukangara (kulia) akibadilishana mawazo na Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Angellah Kairuki (katikati) pamoja na Mbunge wa Viti maalumu  Ester Bulaya, katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma, jana.
 Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Shukuru Kawambwa (kushoto), Mbunge wa Viti Maalumu, Margaret Sitta (wa pili kushoto) na Waziri wa fedha William Mgimwa (mwenye miwani) pamoja na Mbunge wa kuteuliwa James Mbatia (kulia) wakibadilisha mawazo nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana,  baada ya Mbunge  James Mbatia kuwaslisha hoja yake binafsi kuhusu Udhaifu uliopo katika sekta ya Elimu nchini. 
Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top