Aliyekuwa kocha wa Simba Mserbia, Profesa Milovan Crikovick(kulia) akisalimiana na Kocha wa sasa wa Simba Mfaransa Patrick Liewig jana wakati wa mechi ya Taifa Stars na Cameroon ambapo makocha hao walikutana uwanjani hapo kushuhudia mechi hiyo.
(Picha na Bongo Stazz Blog)
Post a Comment