Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

(VIDEO)MWENYEKITI WA WAFANYABIASHARA WA SOKO KUU MWANZA AKUTWA NA JENEZA

Mwenyekiti wa wafanyabiashara wa soko kuu jijini Mwanza Bw. Hamad Nchola anadaiwa kukutwa na jeneza ambalo hata hivyo halikuwa na maiti ndani yake, likiwa katikati ya magunia ya viazi mviringo na hivyo kusababisha umati wa watu kufurika ndani ya soko hilo huku baadhi yao wakilihusisha tukio hilo na imani za kishirikina.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top