|
Vijana
wa Chipukizi wakiwa kwenye Gwaride la kumpokea katibu Mkuu wa CCM,Ndugu
Abdulrahaman Kinana,wilayani Gairo, tarehe 18 April 2013 |
|
Wananchi
wa Chakwale,wilayani Gairo wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu
Abdulrahaman Kinana mara baada ya kufungua shina la Wakereketwa Sokoni. |
|
Vijana wa CCM ,Shina la Kibedya ambao wao wanajishughulisha na kilimo pamoja na kupukuchua mahindi |
|
Zefania Magiga
aliyekuwa Mwenyekiti wa kata Chadema,akitangaza rasmi kuhamia CCM kwenye
Mkutano wa hadhara ulifanyika Giro mbele ya Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu
Abdulrahaman Kinana. |
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Siasa
on Friday, April 19, 2013
Post a Comment