 |
| Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro akihutubia wananchi wa Ruaha wilaya wa Kilosa. |
 |
| Mwenyekiti wa CCM wilaya wa Kilosa ,Nassoro Udelele akijibu swala la wahanga wa ardhi katika wilaya ya Kilosa,kata ya Ruaha. |
 |
| Mshairi
maarufu wa Morogoro,,Ndugu Maulid Chambilila akighani wakati wa mkutano
wa hadhara uiofanyika kata ya Ruaha,wilaya ya Kilosa. |
 |
| Dk.Mohamed Seif Khatib akihutubia wananchi wa wilaya ya Kilosa ,kata ya Ruaha ambapo aligusia umuhimu wa Muungano. |
 |
| Katibu
wa NEC,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akihutubia wananchi wa wilaya ya
Kilosa,kata ya Ruaha na kuwashukuru kufanikisha uchaguzi wa wajumbe wa
mabaraza ya katiba. |
 |
| Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu abdulrahaman Kinana akizungumza na wananchi wa Ruaha wilaya ya Kilosa. |
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Siasa
on Monday, April 15, 2013
Post a Comment