Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

RAIS JAKAYA KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WAPANDA PANTONI (MV MAGOGONI) JIJINI DAR ES SALAAM

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiongea na watoto waliokutana nao kwenye pantoni ya MV Magogoni walipokuwa  wakitoka Mji Mwema, Kigamboni, jijini Dar es salaam jana April 7, 2013  walikomtembelea Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakishuka kutoka  kwenye pantoni ya MV Magogoni walipokuwa  wakitoka Mji Mwema, Kigamboni, jijini Dar es salaam jana April 7, 2013 walikomtembelea Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi.
Picha na IKULU
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top