Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM alipowasili katika Ofisi ya CCM Mkoa Amani,alipoanza ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi katika Mkoa huo jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akisalimiana na Viongozi wa CCM alipowasili kuitembelea Maskani Kaka ya Kisonge,iliyomwa moto na Watu wasiojulikanwa akiwa
katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Mjini jana .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akifungua pazia kuweka jiwe la Msingi Tawi la CCM Vikokotoni,alipokuwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Mjini jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, alipokuwa akizungumza na Wananchi na wanachama wa CCM, Tawi la CCM Vikokotoni Mjini Unguja,alipokuwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Mjini jana.Picha na Ramadhan Othman, Ikulu Zanzibar
Post a Comment