Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

TASWIRA MKUTANO MKUBWA WA CCM MKOANI MOROGORO


Msanii Nasibu Abdul 'Diamondi' akiwa amebebwa na wasanii wake kukoleza manjonjo alipotumbuiza kwenye mkutano wa hadhara wa CCM, mjini Morogoro,jana Aprili 21, 2013,
Nasibu Abdul 'Diamondi' akitumbuiza kwenye mkutano wa hadhara wa CCM mjini Morogoro jana Aprili 21, 2013.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, nape Nnauye wakiingia katika Uwanja wa Mkutano wa hadhara wa Kiwanja cha Ndege, mjini Morogoro,jana, April 21, 2013.
 katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia umati wa wananchi katika Uwanja wa Uwanja wa Ndege (zamani sabasaba) mjini Morogoro jana, Aprili 21, 2013, ikiwa ni hitimisho la ziara yake ya siku nane aliyofanya katika wilaya zote, mkoani Morogoro.
 Umati ukiwa umefurika kwenye mkutano wa CCM uliofanyika jana April 21, 2013 kwenye uwanja wa Kiwanja cha Ndege wa mjini Morogoro.
Baadhi ya maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa CCM kwenye Uwanja wa Kiwanja cha Ndege wa mjini Morogoro, wakimshangilia Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowasili Uwanjani hapo,jana April 21, 2013.Picha na Bashir Nkromo
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top