Tiketi za sherehe za kuadhimisha miaka
13 ya muziki wa Lady Jaydee zimeshaanza kuuzwa mtaani na huo hapo juu
na chini ndio mfano wa jinsi zilivyo ambapo ya juu ni ile ya VIP
itakayokuwezesha kupata chakula, nakala ya CD pamoja na huduma maalum ya
kinywaji cha kuanzia
Hii hapa chini ni ya kawaida
itakayokuwezesha kushiriki onesho, na kushuhudia burudani lukuki
zitakazoongizwa na Profesa Jay, TID, Matonya, Grace Matata pamoja na
Lady Jaydee mwenyewe na Machozi Band itaonekana jukwaani live siku hiyo.
Tiketi zinapatikaka Shear
Illusions-Mlimani City, BM BarberShops-Kinondoni, City Sports
Lounge-City Centre, American Nails-Kinondoni, Nyumbani Lounge-Tranic
Plaza, na katika Bar za Samaki samaki
Post a Comment