Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

MWENYEKITI WA CHADEMA NA MBUNGE WA HAI FREEMAN MBOWE AFANYA ZIARA KATIKA VITONGOJI JIMBO LA HAI



Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na mbunge wa Hai, Freeman Mbowe na Mbunge wa Hai, akijadiliana jambo na wananchi maeneo ya vitongoji mbalimbali katika vijiji vya Jimbo la Hai.
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na mbunge wa Hai, Freeman Mbowe na Mbunge wa Hai, akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa chama hicho Kijiji cha Mtakuja, Mzee Ally Mbatia. Mbowe yuko katika ziara ya kukagua uhai na kuimarisha ujenzi wa chama katika ngazi ya chini kabisa ya chama hicho, msingi, kwenye maeneo ya vitongoji mbalimbali katika vijiji vya Jimbo la Hai.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top