Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

TASWIRA:MWENYEKITI WA CCM, RAIS JAKAYA KIKWETE AKIONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM(CC)

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma kwa ajili ya Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Mei 14, 2013. Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Philip Magula.



MWENYEKITI wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM (CC)Jana katika ukumbi wa White House mjini Dodoma. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar), Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein na wengine kutoka kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. Pamoja na mambo mengine, Kamati Kuu imemteua mgombea wa Ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo la Chambani, Pemba Mattr Said .Picha na Bashir Nkoromo na Ofisi ya Waziri Mkuu
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top