Mbunge
wa arumeru mashariki-chadema Joshua Nasari(kushot)akisalimiana na
Mwenyekiti wa CHADEMA, Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya
Upinzania Bungeni, Mhe Freeman Mbowe muda mfupi baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa arusha kwa ajili ya kuwapa
pole majeruhi wote waliolazwa katika hospitali ya Mt Meru kutokana na
majeraha yaliyosababishwa na mlipuko wa bomu la kurushwa kwa mkono
katika kanisa la Mt Joseph Mfanyakazi, katika parokia teule ya Olasiti,
Arusha, lililotokea Jumapili iliyopita, Mei 5, 2013 Kulia kwake ni mbunge wa arusha mjini-Chadema Godbless Lema
Loading...
Post a Comment