Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunge wa Singida Mashariki-Chadema, Tundu
Lissu kwenye uwanaj wa ndege wa Kilimanjaro alikowasili May 8,2013 ili
kufungua mkutano Mkuu wa ALAT jijini Arusha, May 9, 2013. Lisu pamoja na
wabunge wengine walikwenda Arusha kujionea athari za mlipuko wa bomu
kwenye Kanisa Kstoliki la Olasiti.Katikati ni Mbunge wa Igalula
Athumani Mfutakamba.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Loading...
Post a Comment