Mwenyekiti
wa ccm mkoa wa morogoro na Mbunge wa Morogoro kusini Mh Innocent
Kalogeris akisikiliza kwa makini sera hotuba ya mbunge wa kilombero mh
Abu Mteketa wakati wa kampeni ya kumnadi mgombea wa udiwani kata ya
ifakara Ndugu Benjamini masepo mkutano uliofanyika kata ya ifakara.
Mwenyekiti
wa ccm mkoa wa morogoro na Mbunge wa Morogoro kusini Mh Innocent
Kalogeris akimnadi mgombea wa udiwani wa kata ya ifakara mjini,Mh
kalogeris amewaasa wananchi wa kata hiyo kuichagua ccm ili kutekeleza
yale yote waliyowaahidi wakati wa kampeni za uchaguzi.Uchaguzi huo
umekuja kutokana na kifo cha aliyekuwa diwani wa kata hiyo kufariki.
Wabunge wa morogoro waheshimiwa Sarah Msafiri na Dk Haji Ponda wakiwa katika mkutano huo wa kampeni ifakara mjini
Umati uliojitokeza katika mkutano huo leo
Post a Comment