
Taarifa ya mkutano
napenda kuwatangazia wanachama wote
kutakuwa na mkutano wa wanachama wote
wa chama cha mapinduzi tarehe 7-7-13
siku ya jumapili kuanzia saa
10 jioni ukumbi GDCC Dale Community Center
11901
Glenn Bale Blvd Glenndale Md 20769
Kufika kwa wakati ni muhimu
shime wanachama kujitokeza kwa wingi kwenye
mkutano
Asanteni
Post a Comment