Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mbunge wa
Arusha mjini Mhe. Godbles Lema nje ya ukumbi wa mikutano wa A I C C
Arusha, Baada ya kufungua mkutano wa siku 11 wa 34 kwa Mabunge ya Nchi
wanachama wa Jumuiya ya SADC katika ukumbi wa A I C C mjini Arusha leo
20 Octoba 2013. Kushoto Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari.
Loading...