Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

UTAITAMBUAJE ASALI ILIYOCHAKACHULIWA ?



Asali  za  aina  mbalimbali.  Kutokana  na  kuwepo  kwa  wimbi  la  uchakachuaji  wa  asali, ni  vigumu  sana  kutambua  asali  halisi  na  asali  iliyo  chakachuliwa.

Matumizi ya asali ni mazuri kwa afya yako lakini ikiwa tu utatumia ASALI HALISI na sio asali CHAKACHULIWA.
Kutambua asali halisi, fuata  maelekezo  yafuatayo:-


1.   Chukua glass unayoweza  ona  ndani  kwa  urahisi.

2.  Jaza  maji   kiasi  cha  nusu  glasi

3.   Dondoshea   asali  taratibu  kwenye  glasi  ya  maji  kama  inavyo  onekana  kwenye  picha  hapa  chini.
 
 
 
 
4.    Asali  halisi  inatakiwa  iende  mpaka  chini  na  kutulia  na  isijichanganye  na  maji,

5.    Kama  asali  uliyo  nayo  si  halisi  pindi  itakapo  gusa  maji  tu  itajichanganya  na  maji  hayo.


CHANZO:Neema Herbalist & Nutritional Food Clinic.
 
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top