Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

TASWIRA:KUTOKA VIWANJA VYA BUNGE DODOMA LEO



Waziri Mkuu ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na wajumbe mwenzake (kulia) wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.

Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Joshua Nasari(kushoto) akibadilishana mawazo na Mjumbe mwenzie ambaye pia ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Jenista Mhagama(kulia) jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.


Waziri Mkuu ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na mjumbe mwenzake Said Mtanda (kulia) jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.

Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha Mwingulu Nchemba (kushoto) akibadilishana mawazo na wajumbe mwenzie Zitto Kabwe(kulia) na Albert mjini Dodoma wakati wa mapumziko.

Wajumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba wakibadilishana mawazo na jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.
Picha na MAELEZO-Dodoma.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top