Edward Ngoyai Lowassa na Godbless Lema wakiwasili katika viwanja vya Sinoni Unga Ltd leo Alhamisi 8/10/2015
Mwanasiasa mkongwe Nchini, Mzee Kingunge
Ngomale Mwiru, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Arusha wakati wa Mkutano
wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa,
uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Sinoni, Unga LTD, Jijini
Arusha leo Oktoba 8, 2015.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe, akiwahutubia wananchi wa Mji wa
Arusha wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA,
Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Sinoni,
Unga LTD, Jijini Arusha leo Oktoba 8, 2015.
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi,
Mh. James Mbatia, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Arusha wakati wa
Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa Chama cha Demokrasia
na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa,
uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Sinoni, Unga LTD, Jijini
Arusha leo Oktoba 8, 2015.
Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick
Sumaye akiwahutubia wananchi wa Mji wa Arusha wakati wa Mkutano wa
Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa,
uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Sinoni, Unga LTD, Jijini
Arusha leo Oktoba 8, 2015.
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa,
akihutubiwa wananchi, wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye
Uwanja wa Shule ya Msingi Sinoni, Unga LTD, Jijini Arusha leo Oktoba 8,
2015.
Picha kwa hisani ya Othman Michuzi
Post a Comment